Latest posts
-
Ngoya, jumuiya ya malezi ya Wasipiritani katikati ya Afrika

Huko Ngoya, karibu na Yaoundé, vijana 28 wa Shirika la Roho Mtakatifu (Wasipiritani) kutoka nchi nane za Afrika wanajiandaa kuwa mapadre wamisionari. Ripoti kutoka Seminari ya Teolojia ya Wasipiritani Poullart des Places, inayohitaji msaada wa wote ili kuendeleza utume wake.
